Zad Education Centre · Awamu ya 4
Wahitimu wa Kidato cha Nne 2027
Masomo ya Kina ya Kiislamu
Programu maalumu kwa wavulana na wasichana waliohitimu Kidato cha Nne mwaka 2026.
- Tarehe
- 14 Desemba 2026 – 24 Aprili 2027
- Muda
- 08:00 – 15:00
- Ada
- TZS 640,000
- Tarehe ya Mwisho ya Usajili
- (EAT)
- Usajili umefungwa
Usajili umefungwa
Tarehe ya mwisho ya usajili imepita. Programu hii haipokei maombi mapya.
